3 January 2014

Leo ilikuwa siku ya kuzaliwa Nasra Shariff,ambapo aliamua kusheherekea siku yake hiyo kwa kula chakula cha mchana na watoto yatima wa kituo
Cha umra kilichopo magomeni mikumi karibu na msikiti Wa kisumu.
Kwangu Mimi Nasra ni zaidi ya rafiki yangu,nimejuana na dada huyu kupitia face book ninashukuru mungu nilipomuita dada akaitika mdogo wangu.
Mengi yalipita ya kutuweka mbali na huyu dada lakini hayakupata nafasi.
Ninakuombea umri mrefu dada angu,nami mungu anipe umri mrefu siku moja tuje tukutane inshallah.
        Nasra wa Zaki birthday lady 
        Swebe na mr and mrs Zaki
                Mrs Zaki na rafiki
                   Duah ikisomwa
    Mume wa Nasra aliyevaa Shati jeupe        akiwa na watoto yatima 
    Wakinawishwa kwa ajili ya kupata wakati niupendao
    Wakati niupendao umewadia








    Msosi wa birthday ya Nasra wa Zaki 
    Birthday lady akipata chakula cha mchana na wageni wake.




Tmarkturn inakutakia maisha marefu na afya njema dada Nasra mwenyezimungu azidi kukupa imani ya kukumbuka yatima na wale wasio na uwezo.
Insha Allah mwakani ufanye kikubwa zaidi ya hiki panapo uhai na uzima

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!