Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya last born wetu Hemed,hongera kwa kufikisha miaka 18 kaka angu.
Soma sana kaka angu Kwani elimu ndio kila mtu Mpz wangu.
Mwenyezimungu akupe afya njema na maisha marefu kaka angu.
Dada anakupenda sana kuliko wewe unavyofikiria.
Love you mingi sana.
0 comments:
Post a Comment