Pichani ni bwana Yahaya Ramadhani Gombe anaeshtumiwa kwa kosa la kumnyonga aliyekuwa mkewe kwa sababu ya mapenzi.
Mwili wa marehemu umekutwa store nyumbani kwa huyu bwana. Na inasemekana ameonekana Tanga.
Jina la huyu jamaa ni: Yahaya Ramadhani Gombe Kabila: Mzigua Makazi: Mbagala DSM, RB Number: MBL/ RB/11742/12.MAUWAJI Tafadhali ukimuona toa taarifa katika kituo cha police.
|
0 comments:
Post a Comment