3 August 2013

Kwenye picha ni Farida (kushoto) na mdogo wake Habiba Aug 12, 2011 siku waliyofanya Arobaini ya mpendwa baba yao

Dada yetu Farida Jetha Mwanahanji (Farida Catering) Na Familia yake, wanatuomba watanzania wa DMV kuhudhuria kwenye kisomo cha hitma ya kuwaombea Marehemu Baba yake,  Saidi Jetha Mwanahanji na Kaka yake, Muhamed Jetha Mwanahanji.

Kisomo kitafanyika Siku ya leo Jumamosi AUGUST 3, 2013 at 7:30PM.

Address ni:
Indian Spring- Terrace Local Park
9717 Lawndale, Silver Spring, MD 20901

Baada ya Kisomo kutakuwa na futari ya pamoja. Tunakuomba ufike bila kukosa na uwajulishe wengine.

Asanteni Sana
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!