3 August 2013

Nilijiuliza maswali yasiyo na majibu mbona sioni mapokezi ya dogo bongo,Kumbe yuleee....

Haya ile kamati ya mapokezi Kama ninawaona mlivyonywea ha ha ha ha 
Ammy Nando awasili Los Angeles, California
  Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (Katikati nyuma) na Ammy Nando
  Davis Mosha na Ammy Nando
 Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Ammy Nando, na Deo Temba L.A. Mayor
 Mayor wa L.A. Deo Temba, Ammy Nando, Nancy Assenga (Mama na Meneja) na Mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi mara baada ya kumpokea Nando Los Angeles, California.
 Juliet Luangisa, Ammy Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)
Mkurugenzi Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Ammy Nando, Walter Minja, Deo Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumpokea Army Nando Marekani.

MPIGANAJI DAVIS MOSHA "THE CEO" BAADA YA KUONANA NA WATANZANIA WAISHIO  L.A.  AMWANDALIA HAFLA (BASH) NZITO YA HADHI YA KISTAA (CELEB STATUS) AMMY NANDO KATIKA HOTELI GHALI YA YARD HOUSE L.A. MAREKANI.
 Mpiganaji "THE CEO" Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center) na JW Marriott Hoteli.
 Ammy Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.
 Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.
Picha na  Swahili tv

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!