18 July 2013

UZA , NUNUA, TANGAZA @ DEAL MOJA BUREEEE!!!

Fursa ingine kwa watu wote WANUNUZI NA WAUZAJI DUNIANI
Ni website ya kisasa yenye sifa za kimataifa www.dealmoja.com Yaap ni DEAL MOJA katika wavuti hii kuna mengi waeza fanya bila GHARAMA YOYOTEdealmoja_logogg
·         TANGAZA BIASHARA YAKO KATIKA Category ya Business directory
·         UZA AU NUNUA bidhaa kupitia wavuti hii
·         KWA WALE WENYE BIASHARA AU HUDUMA ZA KUPANGISHA au KUUZA  – Unaweza Tangaza kupitia wavuti hii BUREEEEEEE
Waweza jiuliza kwanini tunatumia lugha ya KIINGEREZA katika wavuti hii…. Sababu kubwa ni kuwa tunataka kwenda mbali … na hii itasaidia watanzania kufanya biashara na watu wote DUNIANI lugha kuu ikiwa ni KIINGEREZA.
Ni rahisi sana unajisajili kisha unaanza kurusha bidhaa zako katika website hii ya kisasa naya uhakika kabisa.
WAWEZA POST BIDHAA/HUDUMA
KUPITIA SIMU YAKO.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!