27 May 2013Ammy Nando (actor)
Tanzania itawakilishwa na washiriki wawili Big Brother Africa 2013 inayoanza leo Mei 26, 2013 muakilishi mwingine ni Fedha Kessy, Ammy Nando jina kamili Amir Khan ni Mtanzania anayeishi Los Angeles, California na kazi yake ni model na Actor Hollywood.

Picha vijimambo blog

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!