20 February 2013Chuo kinadaiwa Kupoteza Mvuto kwa sababu ya Uongozi Mbovu.
Miaka ya nyuma Chuo kilikuwa kikipokea wanafunzi zaidi ya 1,500 lakini leo hii hata 200 ni Vigumu Kuwapata.
Wananchi wanadhani ni njama zinazohusisha hata na vyuo Binafsi ili Wanafunzi wakasome huko badala ya chuo hiki chenye Sifa ya Kipekee nchini.

Wanafunzi wana ulalamikia Uongozi wa Juu wa Chuo umekuwa ni Dhaifu katika Kuchukua Uamuzi wa Kiutawala ili kulinda Hadhi ya Chuo hiki kitaifa na Kimataifa.

Mmh, Chuo hiki nacho kimetowa Watu.
Hata Dk Asha Rose Migiro pia alisoma Pale.
Hii ni status nimekutana huko facebook imeandikwa Zainabu Mudhihir Ashraff
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!