27 February 2013


Mr and Mrs Aboubakar Ali

Alhamdulillah ninamshukuru mwenyezimungu kwa kunikutanisha na wewe rafiki yangu,baba wa mtoto wangu,mume wangu.hakika tarehe 28 feb kwetu ni zaidi ya kumbukumbu ya ndoa yetu.
ninamuomba mwenyezimungu azidi kutujalia amani na upendo katika ndoa yetu inshallah.
Ameen.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!