26 November 2012

Kila nikiingalia hii picha machozi yananitoka.

Ni wiki mbili sasa tangia nimekutana na hii picha huko face book,nimejiukuta ninajiuliza maswali lukuki yasiyokuwa na majibu?
Kuna wizara ya watoto na ustawi wajamii kama sijakosea je kazi yake nini?
Nini kifanyeke kupunguza lundo la watoto hawa?
wakati nchi za wenzetu mtoto anapewa kipaumbele sie mtoto ndio hana nafasi kabisa katika jamii,kwa kweli inauma na inaumiza kichwa.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!