5 October 2012

KESI ya mauaji inayomkabili msanii wa filamu  nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayedaiwa kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba ‘The Great’ ambayo leo ilitakiwa kutolewa maamuzi ya umri na Mahakama ya Rufaa imerudishwa mahakama ya Kisutu kuanza upya. 

Lulu akisikiliza kwa umakini

Akitoa maamuzi hayo Naibu Msajili wa Mahakama hiyo yenye maamuzi ya mwisho hapa nchini, Zahra Marume alisema utaratibu uliotumika kuifikisha kesi hiyo mahakamani hapo ulikuwa na makosa hivyo kuamuru kesi hiyo kurudi mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!