4 May 2012

KAMA TUJAVYO MOVIE STAR "SAJUKI" ANAUMWA NA ANAHITAJI MSAADA ILI AWEZE KWENDA KUTIBIWA INDIA HARAKA IWEZEKANAVYO. SASA BASI KAMA UMEGUSWA NA UNGEPENDA KUCHANGIA TAFADHALI SANA TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA AKIBA BANK A/C # 050000003047 A/C NI YA MKE WAKE WASTARA JUMA AU UNAWEZA KUTUMIA
M PESA 0762189592 NA TIGO PESA 0762189592.

KWA WALE MLIOKO NJE YA NCHI MNAWEZA KUTUMA MICHANGO YENU KUPITIA WESTERN UNION KWENDA KWA WASTARA JUMA ISSA, DAR ES SALAAM, TANZANIA.

PESA INAYO HITAJIKA KWA AJILI YA MATIBABU NI MILION 25.

SAJUKI ANA SUMBULIWA NA UVIMBE TUMBONI AMBAO UMEKUWA UKIDHOFU MWILI WAKE SIKU HADI SIKU.

KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI TUMSAIDIE SAJUKI AMBAE KWA HAKIKA ANA UMWA NA ANAHITAJI MSAADA WETU. TOA KUTOKANA NA VILE MUNGU ALIVYO KUBARIKI.

TUENDELEE KUMUOMBEA SAJUKI ILI MUNGU AWEZE KUTENDA MIUJIZA YAKE.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!