12 May 2012


Aha Selungwi na Mama yake mpz 
Happyoshea Maina na Mama Happy
Suhaila na watoto wake,aliyempakata ni Dullah,Zainabu,na Nurein
wanawatakia kheri ya siku ya Mama duniani.
Tunu Danga na Mama Mkwe wake
SIKU HII NI MUHIMU KWAKO MZAZI WANGU..WEWE SI MAMA MKWE KWANGU BALI NI RAFIKI NA MSHAURI MUHIMU,NI MZAZI UNAYEJUA THAMANI YA MTOTO WA MWENZIO NI NINI..NAJIVUNIA KUPATA MKWE KAMA WEWE,NAJIVUNIA KUA MTOTO WA MWISHO KWAKO.NAKUTAKIA HAPPY MOTHERS DAY NJEMA MKWE WANGU.
Shekha na Mama Shekha
Salma Mwerani na Mama yake mpz
Nampenda Mom yangu zaidi kwani bila ya yeye nisingekuwa hapa nilipo,tuwapende mama zetu na kuwaheshimu,utupaji wa watoto sio mzuri tujifunze kutumia uzazi wa mpango.
Mama Bertha na mwanae Bertha,happy mothers day to all the mothers and all future mothers-to-be too,god bless you all!!!

Taqqiyyah na Mama Taqqiyyah
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!