12 April 2012


Kweli msinielewi vibaya lkn,maana mie sio mtu wa kujipamba kiivyoo,na hata nikijipamba sana ni simple zaidi ya sanaa.
lkn ndugu zangu hao wa bongo utakuta mtu kapendeza ktk shughuli nguo aliyovaa lkn haya angalia alivyojipamba utadhania uso wake na kiwiliwili chake ni vya watu wawili tofauti,halafu tangia wajue hiyo colour comb ni balaa utakuta mtu huko machoni kapata rangi utadhania shengena au zafanana.
jamani ukijipamba kidogo mtu unapendeza ile mbaya kuliko kujinanga.
halafu mtu ahakikishe poda inaendana na rangi yake jamani sio wewe mweusi unakwenda paka poda ya mtu mweupe kisa tu fulani anatumia hiyo abegooooo msifanye hivyo jamani.
mtazamo tu sijamlenga wapenzi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!