14 April 2012

Sasa  yupo hivi

Siunaona hata pose aliliweka na kwa taarifa yako tu sasa amekuwa mchungaji wa Kanisani
Zamani longtime kitambo
Zamani enzi zileeee
Amependeza kweli,hakika uneno ukizidi sio mzuri na pia kujikondesha sanaaa sio kuzuri so jiangalie usije ukawachekesha walionuna bure alijionea mwanangu Babby T wangu ANUNA
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!