10 April 2012

Makaburi ya kinondoni ambapo msanii Steven Kanumba anatarajiwa kuzikwa muda mfupi ujao.
Baadhi ya Wananchi wakiwa wameshawalisili ili kuweza kupata kushuhudia maziko ya msanii maarufu Steven kanumba.
Watanzania na Mashabiki wa Msanii Steven Kanumba wakiwa katika eneo la makaburi ya Kinondoni kusubiri mwili wa Marehemu uwasili.
Picha kwa hisani ya Tone Media Group/www.daresalaam-yetu.blogspot.com  
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!