enzi hizo hawajapata binti yao
Mkicheka hivi hakuna atakae amini kwamba wakati mwengine ndani kuna waka moto hata yaje magari ya vikosi vya zimamoto dunia nzima haviwezi kuuzima.
Si maanishi kwa hawa baba na mama Ivy nina maanisha kwa mahusiano yote tena hususani ya ndoa,mie maisha ya ndoa huyaita chama cha kucheka na kulia tena kwa sie wanawake kwani ndio tunaopata hiyo kitu.
Ila inapendeza kama hivi wakati mwengine mnatoka na kubadilisha mazingira,ijapokuwa kuna wanaume wengine hata kutoka na mke wake hataki.
Solo Thang akiwa na Mkewe Yasmeen
Solo ni mwanamuziki,lakini mkewe sio mwanamuziki ijapokuwa kuna siku aliniambia na yy soon atatoa single yake hope litakuwa bonge la song maana mtungaji anae ndani,kila kheri katika ndoa yenu,matarajio yako ya kuwa mwanamuziki,lol
0 comments:
Post a Comment