4 January 2015

Unaweza kushangaa nchi kama Marekani (USA), passport yako aina nguvu kwenye nchi nyingi, kwa maana ya kuwa unapaswa kuomba VISA kabla ya kusafiri kwenye baadhi ya nchi.

Hapa Chini kuna Jewedari lililo andaliwa na Rosie Spinks toka GOOD Magazine na kunakiliwa na mtandao wa MoveHub.

Jedwali ili linaonyesha nchi za dunia na uwezo wa Passport zao katika kusafiria nchi mbalimbali.

Idadi ya namba inayojionyesha aidha unaweza kusafiri na kuingia kwenye nchi kadhaa bila kuwa na VISA au Ukanunua VISA unapoingia nchi husika na si kununua VISA kabla ya Kusafiri.


  • Ukiwa na Passport ya Tanzania, unaweza kusafiri nchi 65 bila ya VISA au Ukaomba VISA unapofika uwanja wa ndege ya nchi husika.
  • Ukiwa na Passport ya Uganda, unaweza kusafiri nchi 63 bila ya VISA au Ukaomba VISA unapofika uwanja wa ndege ya nchi husika
  • Ukiwa na Passport ya Kenya, unaweza kusafiri nchi 68 bila ya VISA au Ukaomba VISA unapofika uwanja wa ndege ya nchi husika.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!