Mnipe pumzi basi maana kama ninawaona mlivyovimbisha midomo yenu,nimemuita wema sepetu ni kwa sababu tu ninampenda huyu kama ninavyompenda wema sepetu katika kuigiza,heeeh ninakuona mwanfidenge fulani ulivyonuna inahusu utajikeri.
Ukinuna ninajua kuna siku utacheka hahahahahahahahah.
0 comments:
Post a Comment