6 January 2015

Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti.

Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikuta chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gari wakati wanawanasua.

Inasemekana ajali hiyo imesababishwa na wao wenyewe baada ya gari yao kuhama njia na kugongana uso kwa uso na bus la abiria.0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!