11 February 2012

Event: Naming Ceremon
Baby: Anne Omotoyosi Soluade
Potograph:Wales Production
Place:Dublin,Ireland
chezeya wapopo wewe swagga kama wazaire
Mama na Baba wa mtoto aliyepewa Jina
Anne na Wazazi wake
Anne Yutele Usingizi
Jina likitajwa
huyu Jamaa na hiki kipochi alikiweka kila style
Wapendeza wazazi,ila kama kawaida nguo zilibadilishwa kwa kila tukio hawataki shida hawa
umeona swagga za baba ake na Anne
Huo mkato sio kiduku,huu ni achimenengule,lol
Siumeona mwenyewe
Siunaona mwenyewe nguo ya tatu hiyoo
Ha ha ha alikuwa akirusha roho au?
Mtu na dadiyeee
Igweeeeeeee
maishallah baby Anne amelala
angalia miguuni

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!