Tangia Mishe Mishe za Christmas zimeanza binti yangu amekuwa akisisitiza tumualike Santa nyumbani.
Tukatumia muda mrefu kumuelewesha Kuwa sio imani yetu ya dini.
Huku na Huku akasema basi zawadi ya Christmas,tukamjibu utapata siku ya birthday yako.
Maswali yalikuwa mengi sana mwisho wa siku akatujibu Kama tunakataaa Santa kuja home shule atafika na zawadi atapewa tukamjibu sawa.
Leo ametoka shule ananiambia unaona Santa amenipa zawadi .
Kazi ipo ninauhakika atatuelewa baadae.
0 comments:
Post a Comment