14 February 2013


Hii ndio safari ya mwisho ya Marehemu Sheikh Nassor Abdallah Bachu ambaye imelazimika maiti yake kusaliwa katika uwanja wa Maisara kutokana na wingi wa watu, awali alikuwa asaliwe katika Msikiti wa Kikwajuni lakini haikuwezekana watu ni wengi sana.

Chukwani ilipotoka maiti na hata Kikwajuni wanawake kwa waume walijitokeza kwa wingi sana...! 

Insha'Allah safari yake iwe ya kheri huko anapokwenda afutiwe madhambi yake na pia aingizwe katika pepo iliyo na darja ya juu kabisa. 

Allahumma thaabit-hu biqauli thaabit. Allahumma gh-firlahu warhamhu waafihi waaf-anhu.
Umati mkubwa ukielekea mazikoni

Waislam kutoka vitongoji Mbalimbali 
vya Unguja na nje ya Unguja waliudhuria 

 Maiti Ikiswalia Kiwanjani baada ya Kukosa 
nafasi msikitini kutokana na idadi ya Watu kuwa kubwa.

Video Waislam wakielekea Mazikoni.Moja ya Mawaidha ya Sheikh Naasor Bachu
KWENYE UZITO KUNA WEPESI

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!