1 November 2013


               Jikeki la kimahaba 

Iyanya mwanamuziki toka nchini Nigeria ambae alishiriki katika Tamasha la Fiesta ya juzi jijijini Dar es salaam,amesheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea wafungwa, kufanya show na kuwapelekea misaada mbali mbali.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!