4 June 2013

Mwili wa aliyekuwa mwanamuziki wa bongoflava Albert Mangweha unatarajiwa kuwasili nchini leo saa nane mchana.


Mwanvita Makamba akiuga mwili wa Magweha
Baadhi ya watanzania waishio Africa ya kusini wakiuaga mwili wa Mangweha.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!