22 March 2013


Biff linaloendelea kati ya Rapper Nikki Mbishi na Ney wamitego, linaelekea pabaya hali ambayo imefikia kutukanana kupitia katika status za huduma ya Blackberry (BBM), kupitia bbm ya Ney wa mitego ameandika status hiyo.
Ninajiuliza mashabiki wao wajifunze nini toka kwao?

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!