Leo ilikuwa ndiyo siku ya hukumu dhidi ya watuhumiwa watatu wa mauaji ya marehemu Swetu Fundikira aliyeuawa kwa kupigwa miaka miwili iliyopita. Mara baada ya watuhumiwa hao kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa, ndugu na jamaa wa marehemu waliangua kilio na wengine hadi kuzimia.
huduma ya kwanza kwa kupepewa
ndugu wakilia
mmoja wa ndugu wa Fundikira akibebwa mara baada ya kuzimia na kudondoka sakafuni
Kushoto ni dada wa marehemu Rehema Fundikira, Hadija Mdemu shemeji wa marehemu wakilia mahakamani hapo.
majonzi na huzuni
Watuhumiwa wakiwa mahakamani kabla ya hukumu kusomwa. kutoka kulia ni Rhoda Robert, Ally Gube na Mohamed Ally.
safari ya huzuni ya Rhoda Robert kuanza maisha mapya gerezani mara baada ya hukumu.
PICHA: ISSA MNALLY/GPL
0 comments:
Post a Comment