Lulu mathias Semagongo
Hebu angali hiyo minyama uzembe jipatilize eeeeh
Lulu huu ni mtazamo wangu tu,kabla ya kuweka hizi picha katika uso wa kitabu alimaarufu FaceBook kwanza ungejiangalia mwili wako ulivyo,pia ungeiangalia heshima yako unaiweka wapi.
Nionavyo mie kabla ya kutimka huko uendako kusikojulikana,liangalie hili kwanza,la picha zisizokuwa na maadili unazoziweka katika page yako,huku wewe ukijiita kioo cha jamii,sijui mtu maarufu,ninarudia kama umaarufu ni hivi,sidhani kama tutawaruhusu hao ndugu zetu za vizazi vyetu kuwa hao maarufu.
Unadai umechoshwa na maneno ya walimwengu hahahah unachekesha huko uendako si ulimwenguni,labda ujifukie kaburini ndio hautapata hayo maneno lakini pia kama kaburi lako litaandikwa jina pia wapita njia wakiona jina watasema.
Ushauri wangu wewe una umbo zuri sana lulu,hivyo jiheshimu,uheshimiwe,jithamini uthaminiwe,
0 comments:
Post a Comment