KAMA WEWE MKALI WA POOL TABLE BASI INAKUHUSU NJOO MAPEMA USHINDANE NA MSHINDI ATAPATA ZAWADI NONO ... KAMA HAOTOSHI BASI NJOO UJIANDIKISHE NA MASHINDANO MAKUBWA HAPA TZ YANI EPIQ BONGO STAR SEARCH.. ULE UTATA KATI YA SIX UNIT MG NA MAGIQ SQUADY TUNAUMALIZA.
PATAKUWA HAPOTOSHI PALE KATI KUTAKUWA NA MISOSI YA KUMIMINA,DADAZ ZITAKUWA ZA KUMWAGA HUKU ZIKIWA ZIMEJINYUTISHA VITU VIKALI,SIKWAMBII KAKAZ WATAKAVYOKUWA WAJIPIGILIA SWAGGA ZA KIMTONI.
KWANINI UPEWE STORI NJOO UTHIBITISHE VIWANGO VYETU BOMBA DJ. SWIMMING,NDIYOO JIPITISHE MLANGONI KWA BUKU GWALA YAKO TU,PARTY ITAANZA MIDA YA MIKONO MIWILI,NDIYOOO SAA KUMI JIONI HAHAHAHAHA HADI NIGHT.
7 June 2012
Thursday, June 07, 2012
No comments
Categories: PARTY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment