Bi. Saidiana Kigwangise (26) mkazi wa kijiji cha Itede wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa anayedaiwa kucharaza bakora 30 na afisa mtendaji wa kijiji hadi kupelekea mimba ya miezi mitatu kutoka.
Bwana Chesco Malack,mjomba mgonjwa akiwa nyumbani kwake eneo la Frelimo mjini Iringa ambako alikuwa akiimuga mara baada ya kutoka hospital ya mkoa wa Iringa.
Picha kwa hisani ya: Iringayetu Blog
0 comments:
Post a Comment