22 October 2014Nyumba ya mkaazi mmoja wa Kigamboni, imeungua moto jana, sababu ya moto huyo inasemekana ni baada ya mfanyakazi wa ndani, kubandika Maharage kwenye jiko la gesi na kwenda nyumbaya jilani kusuka nywele.

Jitihada za kuzima moto huo ahazikuweza kuzaa matunda ya kutosha ya kutosha kwa sababu hasara iliyopatikana ni kubwa, mwana habari wetu ambaye alikuwa kwenye eneo la tukio ilo ameshindwa kuonana na Muhusika au wenye nyumba kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!