3 May 2014Katika makala ya Teknolojia wiki hii:Mtandao wa Google umetangaza kusimamisha mpango wake wa kuchunguza akaunti za gmail za mamilioni ya wanafunzi wanaotumia programu yake ya elimu baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa tabia hiyo inaweza kuvunja sharia ya Marekani ya kuingilia maisha binafsi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!