6 February 2014

CAPE TOWN - Afrika Kusini
Askofu Mkuu Desmond Tutu ameawashangaza wananchi na wanasiasa wengi baada ya kutangaza kuanzisha chama cha siasa cha Mashoga wa Afrika Kusini, kiitwacho Democratic Religious Alliance Against Minority Antagonism (DRAAMA).


Uchaguzi wa bunge umepangwa kufanyika Mwezi April–July 2014. Huu utakuwa uchaguzi wa tano wa kidemokrasia tangia kuondoka kwa utawala wa kibaguzi wa Afika Kusini.

Askofu Tutu alinukuliwa akisema...
"Siwezi kwenda kwenye mbingu yenye kuwachukia mashoga... Siwezi omba samahni kwa jambo ili, ni bora kwenda motoni (Kuzimu)... Siwezi kumuabudu Mungu mwenye kuwachukia mashoga na ndivyo ninavyo hisi ndani ya moyo wangu." (Ni tafasiri hisio rasmi)“I would refuse to go to a homophobic heaven… No, I would say sorry, I mean I would much rather go to hell… I would not worship a God who is homophobic and that is how deeply I feel about this.”

Hii ndio kauli ya mshindi wa nishani ya amani duniani, ambaye aliongeza kuwa haamini dini yenye ubaguzi wa kuwachukia mashoga. Mapenzi yake juu ya swala la mashoga ndilo  lililo mpelekea kuunda chama cha kwanza cha mashoga dunia kwa kifupi DRAAMA.

Tutu, ambaye anaheshimika sana katika nchi za kikristo Dunia na haswa nchi za Magharibi, anasema anahisi chama chake kimepata baraka kutoka kwa rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!