Habari zilizotufia kwenye ukurasa wetu wa habari ni kuwa mpiga tumba maarufu wa bendi ya Twanga Pepeta Sudi Mohamed maarufu kwa jina la MCD. Amefariki dunia uko kwao Moshi.
Uongozi wa Twanga pepeta unafanya jitahada za kwenda Moshi ili kuhudhuria mazishi ya mwanamuziki huyo.
Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
Aamin.
0 comments:
Post a Comment