2 December 2013

TANZANIA UHURU NIGHT Itaanza saa 12 jioni (6pm) kwa COCKTAIL


VIJIMAMBO Blog inakuletea TANZANIA UHURU NIGHT siku ya Jumamosi December 7, 2013 Ukumbi wa THE FRIENDSHIP CENTER, 9055C Maier road, Laurel, MD 20723 na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba kuwa mgeni rasmi
Ni usiku wa Uhuru wa Tanzania, kula, kunywa mpaka unasaza kwa $60 tu na muziki ni mpaka asubuhi nunua tiketi yako mapema nafasi za kukaa ni watu 200 tu.

Kauli mbiu ya siku hii ni"Mimi ni mtanzania, natoka Tanzania, nchi yangu Tanzania"

Uhuru Red Carpet

 Tiketi zinapatikana online au Piga simu kwa Dj Luke 301 661 6696,  Dj Seif  202 286 6595 na Baraka Daudi 301 792 8562 

ALL YOU CAN EAT AND DRINK ALL NIGHT FOR $60 ONLY

Karibu tusheherekee MIAKA 52 ya UHURU wa TANZANIA.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!