2 December 2013

Akon: Wanaume kumiliki ndoa moja ni upuuzi.

Mwanamuziki mwenye asili ya ki-Senegal Akon amefungukia kuhusu uhusiano wa kimapenzi kwenye upande wa ndoa ya mke mmoja  na kusema kuwa wanawake hawakuumbwa kuwa na mwenza zaidi ya mmoja tofauti na wanaume ambao tuna uwezo na tumeumbwa kuweza kumiliki mwanawake zaidi ya mmoja!


Akon alifunguka zaidi na kusema ''Wanaume tumeumbwa kwa aina yetu..wanawake inabidi watumie muda mwingi kuelewa jinsi wanaume walivyoumbwa..hatuwezi kukwepa hata kama tutataka ''

Kama ulikuwa hujui Akon ana wake wa-4 sasa inaelekea kamaanisha alichozungumza!
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!