15 November 2013

Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua wengi, wasema kachemka vibaya

Muonekano  mpya wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi 

Picha juu zinamuonesha Ray Kama alivyozoeleka akiwa amejichora tattoo nyingi mkononi na huku kichwani akiwa amezinyoa nywele za utosini na hivyo kuonekana kama mtu mwenye upara wa asili.

Hizi picha ray ameziweka katika mtandao wa Instagram,mashabiki wameongea na yeye ray amewajibu

"Sasa c muotee kitu gani kinakuja, au nami nimegeukia Bongo Fleva,” amechokoza Ray kwenye picha alizoziweka kwenye Instagram.


 Kama ni filamu sawa ila Kama ni maisha ya kweli utakuja jutia baadae huko kujichora chora.

 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!