4 August 2013


           Waziri mkuu Mizengo Peter Pinda

            

             ​TANGAZO

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaLondon unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza  kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda   Ubalozini kesho Jumanne (tarehe 6Agosti 2013) kuanzia saa Kumi na Nusu alasiri(1630 hours au 04.30 p.m.).

 

Katika Mkutano huoMheshimiwa Pinda anatarajiwakuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo  ya nchi na ushirikishwaji wa Diaspora. Aidha atajibu maswali kutoka kwa wananchi hao.

 

IMETOLEWA NA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, LONDON, JUMAPILI (4 AGOSTI 2013)


0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!