29 May 2013


Kufuatia habari zilizogazaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha msanii Mangwea amefariki kwa kula unga mwingi au kujidunga madawa ya kulevya. 

Familia na kamati inawaomba msidanganyike na habari hizo wanaomba muwe na subira kidogo hadi barua rasmi itoke hospital na ndio watasema kuwa marehemu alifariki kwa kitu gani.


PICHANI NI WASANII PAMOJA NA NDUGU WALIOTEULIWA KUWA KWENYE KAMATI YA MAZISHI.

Kamati ya Mazishi ya Ngwair iliyochaguliwa
 ni Jaymo, PFunk, Noorah &
MezB, Ladyjaydee, ProfesaJay, AdamJuma, Mox,
RomeJ.

Kikao hicho pia kimemteua  DJ CHOKA ameteuliwa kuwa mtoa habari zote za msiba wa msanii huyo.
Chanzo:Dj Choka


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!