15 April 2013


Ahmed akifanyishwa mazoezi
Ndugu zangu/rafiki zangu wapendwa
mnaemuona hapo kitandani ni kijana mwenzetu/mtoto wetu/kaka yetu/ndugu yetu/rafiki yetu.Kijana huyu alikuwa na ndoto nyingi kama ilivyo kwangu na kwako pia,lakini kumbe MWENYEZI MUNGU alikuwa na mipango yake mingine juu ya kijana huyu.Ni siku moja tu iliyobadili maisha ya mwenzetu huyu kutoka kwenye kujitegemea kwa kila kitu na kuwa mtu asiyeweza kujisaidia kwa chochote.Ni ajali iliyompata ikapelekea apooze mwili wote isipokuwa kichwa tu.Amelala kitandani kwa muda mrefu sana jitihada nyingi zimefanyika kurejesha uzima wake lakini kwa mapenzi yake MWENYEZI MUNGU bado uzima haujarejea.Kwa sasa kuna kiti(nakiita kiti kwa uelewa wangu mdogo)ambacho kinaweza kumsaidia angalau kufanya baadhi ya mambo kama kukaa mwenyewe bila kushikiliwa,kujisogeza hapa na pale n.k.
gharama za kiti hicho ni dollar 7000 kiasi ambacho yeye na familia yake peke yao hawawezi kumudu tukizingatia kuwa wameshatumia pesa nyingi sana kwa matibabu.Hiki ndio kiti/kigari anachotakiwa kununulia Ahmed

Gharama za hiki kiti ni dollar 7000.
TIGO PESA: 0715 681 380

My Account details:
EXIM BANK (TANZANIA) LTD
TANGA BRANCH
Account name : AHMED ABDULRAHMAN AND ALWIYA AHMED
Account number: 5759819208

huu ndio ujumbe wa Ahmed kwetu 
Hello everyone! i must say that i have always been so greatful to GOD and then to all of you for being so supportive to me morally and materially.Recently,i have received some news that i could use a wheel chair which i can personally move it arround myself just by using my own mouth.BUT HERE IS THE PROBLEM,THE CHAIR COSTS ABOUT 7000 DOLLARS SHIPPING EXCLUDED.I kindly begging for a help so that i would be able to buy it.

TIGO PESA: 0715 681 380
My Account details:
EXIM BANK (TANZANIA) LTD
TANGA BRANCH
Account name : AHMED ABDULRAHMAN AND ALWIYA AHMED
Account number: 5759819208

tumsaidieni Ahmed ili aweze kupata kiti hiki .

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!