28 January 2013Msanii lulu wakati alipokuwa akisubiri dhamana akiwa na askari pembeni kwa ajili ya ulinzi na usalama wake.

Msanii Elizabeth Michael maarufu Lulu  anaekabiliwa na tuhuma za mauaji ya aliyekuwa msanii mwenzake Steven Kanumba amepata dhama leo.
Baadhi ya masharti aliyopewa mahakamani ni pamoja na kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani na wafadhili kuweka bondi ya shilingi milinion 20.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!