31 March 2013

.Jaydee ametweet:

“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira,” ametweet Jide.
Katika kile kinachoashiria kuwa yuko tayari kwa lolote Jaydee ameongeza kwa kutweet, “Kill me if u can. Am on fire, siogopi ng’oooooo jipangeni. Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhuru. Nakunywa maziwa daily, I will survive.”
“Anayedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn.Mnalishwa chungu na tamu na vyote mnakula. Vinyoka nyamazeni acheni Anaconda aongee.”

Reactions:

1 comment:

 1. KANENA KWELI
  HILO NDO JOTO LA HASIRA JIDE WATAJIPEPEA NA BARIDI HAIWAPATI

  ROHO ZAO ZIMEJAA JOTO TUPU NA LIKIWAZIDIA WATARIPUKA WAACHE.
  WEWE UPO JUU JIDE NA ANAETAKA KUKIMBIZANA NAWE AKESHE AKIOMBA KWANI KILA MTU HUSAFIRI KWA YAKE

  KABLA YA HIZO REDIO ZA WATU ULISIKIKA NA UKATOKA HEWANI KWA ZILE ZILE RADIO ZA ZAMANI

  WEWE NI JIDE NA UTABAKI KUWA JIDE KAA KIMYA ACHANA NAO

  ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!