5 November 2012

Nimejiuliza maswali mengi na majibu bado sijapata na ninafahamu sitopata.
mwaka 2011 mrembo alivalishwa crown wa mwaka huu crown haipo ni kwamba huyu wa mwaka jana amekataa kuitoa au?
Nionavyo mie hili shindano la kumtafuta mrembo wa Tanzania sasa linakwenda ukingoni au hawa au linaandaliwa tu ili kujiingizia vipato vyao na kuyafanya majina yao yasipotee mjini.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!