1 November 2012


Genevieve Nnaji’s brand ambassador of Range Rover Evogue
 Akisaini Mikataba

 Akiwa na Mama yake
Yes ni Nollywood actress Genevieve Nnaji mwezi june mwaka huu alichakuguliwa kuwa balozi mpya wa Range Rover Evogue,na kujipatia kitita cha dola za kimarekeni 100,000,Halafu oooh mie star wakati haujawahi kuwa hata balozi wa bajaji hebu mtupishe huko na ustar wenu wa magazeti.
Taarifa za ndani zaidi zinasema Nnaji alipewa mkataba huo kwa two deals by Coascharis Motors
(1) Take $100, 000 and drive a brand new Evoque for only six months after which she will return it or
(2) Take $50, 000 and a brand new Evogue valued at over $70,000 which she can keep.
Na kwavile anayo magari mengi ya gharama  Genevieve amechachua hiyo namba mbili hapo,(she already has very expensive cars) so will eventually return the SUV. Would you have done otherwise? haha ha ha sasa wangekuwa wakina mwanfidenge angeng'ang'ania hilo gari huku likimshinda kulihudumia.

 Ndani ya mchuma
Lady in Red
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!