24 May 2012


Hongera kwa kufikisha miaka yako kadhaa sasa mpenzi wangu,siku yako hii ya leo inanikumbusha miaka kadhaa nyuma pale tulipokuwa tukisheherekea siku yetu ya kuzaliwa pamoja kwa kusubiri saa tano na dk 58 usiku tunasheherekea yako,na inapofika sita kamili inakuwa siku yangu.
Kuwa mbali na wewe haijalishi ule upendo wangu kwako umeondoka la hasha upo pale pale mpenzi wangu.
Sina mengi isipokuwa kukuombea kwa mwenyezimungu akujalie umri mrefu,ili uweze kuja kuwaona  wajukuu zako watakaokuwa wamezaliwa na kijana wetu mpz Othmani Kinega Jr.
HAPPY BIRTHDAY HAFSA

Reactions:
Categories:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!