Steji ya wasanii
Umati wa watanzania walioshiriki maziko ya Msanii kanumba
Mke wa Rais wa Tanzania mama Salma Kikwete akiingia viwanja vya leaders
Mama Salma Kikwete Akiingia katika viwanja vya leaders kwa ajili ya kumuaga nmsanii kanumba
Mama Salma Kikwete akiwa anasubiri kumuaga msanii Kanumba
Waziri wa Mambo ya Nje Mheshimiwa Membe akiingia katika viwanja vya leaders
Mbunge wa Mbeya muheshimiwa JOSEPH MBILINYI akiwasili katika viwanja vya leaders
Waziri Membe akiteta na waziri wa habari na michezo mheshima nchimbi
Picha zote na Abdullah Zulu Lyana/
hisani ya www.daresalaam-yetu.blogspot.com
hisani ya www.daresalaam-yetu.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment