2 April 2012

Hawa ni wapenzi huyu mdada anasumbuliwa na cancer lakini bado mpz wake anampenda tena mapenzi ya dhati hivyo upendo wa huyu kijana ndio umenifanya niliite hili ni penzi la dhati sio bora mapenzi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!