18 March 2012

Ni kipindi cha miaka nane sasa tangia unitoke mama,ila ninakukumbuka kila siku,saa,sekunde na dakika zote katika katika maisha yangu.
mama leo ni siku ya wamama duniani wakiwa wanawatakia mama zao kheri za siku hii,Mie binti yako wa pekee ninakuombea kwa mwenyezimungu azidi kukuondolea adhabu za kaburi,azidi kukupa kauli njema na malaika wa kaburini,inshalla akupokeleshe kitabu kitakatifu kwa mkono wako wa kulia mama yangu,ninakupenda na nitaendelea kukupenda katika maisha yangu.love you mama.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!