20 March 2012

My Dad wants a boy ,but iam a girl so my dad hits me many it....me..this is my bad luck that i am a girl.
Kweli Jamani inakuingia akilini kumpiga mtoto kiasi hiki kisa tu amezaliwa wa kike jmn hivi huyu baba ni mzima wa akili kweli?yy mama ake asingezaliwa yy angekuwepo hapo duniani mbona kuna binadamu wanakili finyu hivi.
hivi kweli huyu baba anashindwa kumuwekea huyu binti sumu ktk chakula?
Jamani tujifunze kupenda watoto wetu kwani zawadi nzuri kwetu,na pia tukumbuke kuna wanaotaka lakini hadi leo mungu hajawajalia jmn.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!