29 February 2012

Mama mwenye kujua umuhimu wa Elimu,popote pale humuandaa mtoto wake kwa ajili ya kwenda Shule.
Hakika hakuna mwenye kufanana na mama
Ninakupenda mama na ninawapenda wamama wote hapa Duniani.
Salute kwako mama.

0 comments:

Post a Comment

.

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!